Mnanipa nguvu na ari ya kuendelea kufanya vizuri zaidi.
Kwa muda mrefu nimekua nikipokea ujumbe kutoka kwa watu mbalimbali wakifurahishwa na kazi ninayofanya. Kusema za ukweli huwa nakosa maneno mengi ya kusema, na kumshukuru tu Mungu kwa kile alichoweka ndani yangu,sifa na utukufu ni kwake. I don't take you guys lightly. Mnanipa nguvu na ari ya kuendelea kufanya vizuri zaidi. Mungu awabariki wote sana. I appreciate you
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment